Kingston
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kingston ni jina la miji mbalimbali duniani.
Yaliyomo |
Asili ya jina [hariri]
Asili ya jina ni Kiingereza "King's Town" yaani "mji wa mfalme". Nchini Uingereza kuanzishwa kwa mji ulihitaji kibali cha mfalme wa nchi. Hivyo tamko la "mji wa mfalme" likawa sehemu ya jina la mji mara kadhaa. Waingereza kutoka miji mbalimbali iliyoitwa "Kingston" walipeleka jina hili kote duniani walipoanzisha miji katika koloni zao au kutoa majina mapya kwa miji ya koloni.
Jamaika [hariri]
Uingereza (Ufalme wa Muungano) [hariri]
Uingereza [hariri]
- Kingston upon Hull
- Kingston upon Thames karibu na London
- Kingston, Cambridgeshire
- Kingston, Devon
- Kingston, Dorset
- Kingston near Lewes - East Sussex
- Kingston, Hampshire
- Kingston, Portsmouth - Hampshire
- Kingston, Isle of Wight
- Kingston, Kent
- Kingston Bagpuize - Oxfordshire
- Kingston Blount - Oxfordshire
- Kingston by Ferring - West Sussex
- Kingston by Sea - West Sussex
- Kingston Deverill - Somerset
- Kingston Lisle - Oxfordshire
- Kingston on Soar - Nottinghamshire
Uskoti [hariri]
- Kingston, East Lothian
- Kingston, Moray
- Kingston Bridge, Tradeston, Glasgow
Australia [hariri]
- Kingston (kisiwa cha Norfolk makao makuu ya eneo
- Kingston SE - Australia Kusini
- Kingston-On-Murray - Australia Kusini
- Kingston (Tasmania)
- Kingston (Victoria)
Kanada [hariri]
New Zealand [hariri]
- Kingston (New Zealand) - mji mdogo kwenye kisiwa cha kusini