Kingoshie

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Kingoshie (lugha))

Kingoshie ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Kamerun inayozungumzwa na Wangoshie. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kingoshie imehesabiwa kuwa watu 9200. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kingoshie iko katika kundi la Grassfields ambalo linafanana na lugha za Kibantu.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kingoshie kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.