Kingong

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Kingong (lugha))

Kingong ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Kamerun inayozungumzwa na Wangong. Mwaka wa 1983 kulikuwa na wasemaji wawili wa Kingong tu. Kwa hiyo lugha imetoweka kabisa sasa. Wengine wanasema lugha hiyo ni lugha ileile na Kinagumi. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kingong iko katika kundi la Kijarawan ambalo linafanana na lugha za Kibantu.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kingong kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.