Kinghwele
Kinghwele (au Kikwere) ni lugha ya Kibantu nchini Tanzania inayozungumzwa na Wanghwele. Mwaka wa 1987 idadi ya wasemaji wa Kinghwele imehesabiwa kuwa watu 98,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kinghwele iko katika kundi la G30.
Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]
- lugha ya Kinghwele kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kinghwele Archived 23 Septemba 2015 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kinghwele katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/cwe
- http://www.african.gu.se/downloads/nghwelelist.pdf[dead link]
- http://www.linguistics.berkeley.edu/CBOLD/Docs/TLS.html (tovuti hiyo ina msamiati wa Kinghwele)
Marejeo[hariri | hariri chanzo]
- Maho, Jouni & Bonny Sands. 2002. The languages of Tanzania: a bibliography. (Orientalia et africana gothoburgensia, no 17.) Göteborg: Acta Universitatis Gothoburgensis. Pp ix, 428. ISBN 91-7346-454-6
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kinghwele kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |