Kingelima (lugha)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kingelima ni lugha ya Kibantu nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo inayozungumzwa na Wangelima. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kingelima imehesabiwa kuwa watu 13,600. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kingelima iko katika kundi la C50.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kingelima (lugha) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.