Kingando (Kongo)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kingando ni lugha ya Kibantu nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo inayozungumzwa na Wangando. Isichanganywe na Kingando nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati. Mwaka wa 1995 idadi ya wasemaji wa Kingando imehesabiwa kuwa watu 220,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kingando iko katika kundi la C70.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kingando (Kongo) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.