Kindo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kindo ni lugha ya Kinilo-Sahara nchini Uganda na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo inayozungumzwa na Wando ambao ni ukoo wa wahunzi. Mwaka wa 2002 idadi ya wasemaji wa Kindo nchini Uganda imehesabiwa kuwa watu 33,800, na nchini Kongo kuna wasemaji 100,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kindo iko katika kundi la Kisudani cha Kati.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kindo kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.