Kindaka (lugha)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kindaka ni lugha ya Kibantu nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo inayozungumzwa na Wandaka. Mwaka wa 1994 idadi ya wasemaji wa Kindaka imehesabiwa kuwa watu 25,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kindaka iko katika kundi la D30.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kindaka (lugha) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.