Kinayi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kinayi ni lugha ya Kiafrika-Kiasia nchini Ethiopia inayozungumzwa na Wanayi. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kinayi imehesabiwa kuwa watu 7190. Hata hivyo kuna Wanayi 12,000, maana yake Wanayi wengi wameanza kuacha lugha yao ya Kinayi na kutumia Kikafa badala yake. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kinayi iko katika kundi la Kiomotiki.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kinayi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.