Kinasal

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kinasal ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wanasal kwenye kisiwa cha Sumatra. Mwaka wa 2008 idadi ya wasemaji wa Kinasal imehesabiwa kuwa watu 3000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kinasal iko katika kundi lake lenyewe la Kinasal.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kinasal kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.