Kinabi (Papua)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kinabi ni lugha ya Kitorricelli nchini Papua Guinea Mpya inayozungumzwa na Wanabi. Mwaka wa 2003 idadi ya wasemaji wa Kinabi imehesabiwa kuwa watu 620. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kinabi iko katika kundi la Kipalei.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kinabi (Papua) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.