Kimundu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kimundu (au Kimündü) ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Sudan Kusini na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo inayozungumzwa na Wamundu. Idadi ya wasemaji wa Kimundu nchini Sudan Kusini imehesabiwa kuwa watu 23,000 na nchini Kongo 2,800. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimundu iko katika kundi la Kiadamawa-Ubangi.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimundu kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.