Kimundang

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kimundang ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Chad na Kamerun inayozungumzwa na Wamundang. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kimundang nchini Chad imehesabiwa kuwa watu 191,000; mwaka wa 1982 nchini Kamerun kumehesabiwa wasemaji 44,700. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimundang iko katika kundi la Kiadamawa-Ubangi.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimundang kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.