Kimukulu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kimukulu (pia Kimokilko) ni lugha ya Kiafrika-Kiasia nchini Chad inayozungumzwa na Wamukulu. Mwaka wa 1990 idadi ya wasemaji wa Kimukulu imehesabiwa kuwa watu 12,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimukulu iko katika kundi la Kichadiki.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimukulu kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.