Kimpongmpong

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kimpongmpong ni lugha ya Kibantu nchini Kamerun inayozungumzwa na Wampongmpong. Mwaka wa 1991 idadi ya wasemaji wa Kimpongmpong imehesabiwa kuwa watu 45,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kimpongmpong iko katika kundi la A80.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimpongmpong kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.