Kimotu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kimotu ni lugha ya Kiaustronesia nchini Papua Guinea Mpya inayozungumzwa na Wamotu. Mwaka wa 2008 idadi ya wasemaji wa Kimotu imehesabiwa kuwa watu 39,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimotu iko katika kundi la Kioseaniki.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimotu kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.