Kimosiro

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kimosiro ilikuwa lugha ya Kinilo-Sahara nchini Tanzania iliyozungumzwa na Wamosiro. Siku hizi Wamosiro wote wamebadilisha lugha yao na kuongea Kinandi badala ya lugha yao, maana yake lugha ya Kimosiro imetoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimosiro iko katika kundi la Kinilotiki.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimosiro kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.