Kimono (Visiwa vya Solomon)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kimono ni lugha ya Kiaustronesia nchini Visiwa vya Solomon inayozungumzwa na Wamono kwenye visiwa vya Mono, Alu, Alo na Fauro. Mwaka wa 1999 idadi ya wasemaji wa Kimono imehesabiwa kuwa watu 2940. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimono iko katika kundi la Kioseaniki.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimono (Visiwa vya Solomon) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.