Kimom-Jango

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Kimom Jango)

Kimom-Jango (pia Kivere) ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Wamom-Jango. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kimom-Jango nchini Nigeria imehesabiwa kuwa watu 104,000. Pia kuna wasemaji 6520 nchini Kamerun. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimom-Jango iko katika kundi la Kiadamawa-Ubangi.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimom-Jango kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.