Kimoken

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kimoken ni lugha ya Kiaustronesia nchini Myanmar na Uthai inayozungumzwa na Wamoken. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kimoken imehesabiwa kuwa watu 4000 nchini Myanmar na watu 2000 nchini Uthai. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimoken iko katika kundi la Kimoklen.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimoken kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.