Kimoba

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kimoba ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Togo inayozungumzwa na Wamoba. Isichanganywe na Kibimoba cha Ghana; ingawa lugha hizo mbili zinafanana, hazielewekani. Mwaka wa 2002 idadi ya wasemaji wa Kimoba imehesabiwa kuwa watu 189,000. Pia kuna wasemaji 1800 nchini Burkina Faso. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimoba iko katika kundi la Kigur.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimoba kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.