Kimesaka

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Kimesaka (lugha))

Kimesaka ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Kamerun inayozungumzwa na Wamesaka. Mwaka wa 1982 idadi ya wasemaji wa Kimesaka imehesabiwa kuwa watu 14,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimesaka iko katika kundi la Kitivoidi ambalo linafanana na lugha za Kibantu.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimesaka kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.