Kimedumba

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Kimedumba (lugha))

Kimedumba ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Kamerun inayozungumzwa na Wamedumba. Mwaka wa 1991 idadi ya wasemaji wa Kimedumba imehesabiwa kuwa watu 210,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimedumba iko katika kundi la Grassfields ambalo linafanana na lugha za Kibantu.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimedumba kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.