Kimberley (Afrika Kusini)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Jiji la Kimberley
Jiji la Kimberley is located in South Africa
Jiji la Kimberley
Jiji la Kimberley
Mahali pa mji wa Kimberley katika Afrika Kusini
Coordinates: 28°44′31″S 24°46′19″E / Expression error: Unexpected < operator Expression error: Unexpected < operator / Expression error: Unexpected < operator; Expression error: Unexpected < operator
Nchi Afrika Kusini
Majimbo Rasi Kaskazini
Website: www.kimberley.co.za
"Big Hole" au "Groot Gat" mjini Kimberley ni shimo kutokana na godi la almasi

Kimberley ni mji wa Afrika Kusini na mji mkuu wa jimbo la Rasi Kaskazini mwenye wakazi 210,000. Chanzo cha mji ni almasi zilizopatikana hapa tangu mwaka 1866. Almasi za kwanza zilipatikana mtoni tu lakini mwaka 1869 zilichimbwa katika udongo. Katika muda wa miezi michache mji mpya ulikua na kuwa na wakazi 30,000 kwa sababu watu walitafuta utajiri wakichimba ardhi ya eneo hili.

Kimberley ilikuwa chanzo cha utajiri wa Cecil Rhodes na kampuni yake ya De Beers. Hadi leo migodo ya almasi ni mgongo wa uti wa uchumi wa mji huu.