Kimbangwe

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kimbangwe ni lugha ya Kibantu nchini Gabon inayozungumzwa na Wambangwe. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kimbangwe imehesabiwa kuwa watu 3690. Pia kuna wasemaji zaidi ya 1500 nchini Kongo. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kimbangwe iko katika kundi la B20.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimbangwe kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.