Kimbangi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kimbangi ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati inayozungumzwa na Wambangi. Mwaka wa 1996 idadi ya wasemaji wa Kimbangi imehesabiwa kuwa watu 2750. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimbangi iko katika kundi la Kiadamawa-Ubangi.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimbangi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.