Kimayeka

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kimayeka ni lugha ya Kibantu nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo inayozungumzwa na Wamayeka. Mwaka wa 2004 idadi ya wasemaji wa Kimayeka imehesabiwa kuwa watu 21,000. Kimayeka hakijaainishwa kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimayeka kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.