Kimashi (Zambia)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta

Kimashi ni lugha ya Kibantu nchini Zambia inayozungumzwa na Wamashi. Isichanganywe na lugha ya Kimashi inayozungumzwa nchini Nigeria. Mwaka wa 1969 idadi ya wasemaji wa Kimashi nchini Zambia imehesabiwa kuwa watu 20,800. Pia kuna wasemaji 2630 (2000) nchi ya Angola na wengine nchi ya Namibia. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kimashi iko katika kundi la K40.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Globe of letters.svg Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimashi (Zambia) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.