Kimasela cha Kati

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Kimasela ya Kati)

Kimasela ya Kati ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wamasela kwenye kisiwa cha Masela. Mwaka wa 1980 idadi ya wasemaji wa Kimasela ya Kati imehesabiwa kuwa watu 510 tu, na idadi imeendelea kupungua, maana yake lugha imekaribia kutoweka kabisa hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimasela ya Kati iko katika kundi la Kibabar.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimasela cha Kati kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.