Kimariri

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kimariri ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wamariri kwenye kisiwa cha Mariri. Mwaka wa 2011 idadi ya wasemaji wa Kimariri imehesabiwa kuwa watu 280 tu. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimariri iko katika kundi la Kiaru.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimariri kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.