Kimangbetu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kimangbetu ni lugha ya Kinilo-Sahara nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo inayozungumzwa na Wamangbetu. Idadi ya wasemaji wa Kimangbetu imehesabiwa kuwa watu 620,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimangbetu iko katika kundi la Kisudani cha Kati.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimangbetu kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.