Kimamvu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kimamvu ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo inayozungumzwa na Wamamvu. Mwaka wa 1991 idadi ya wasemaji wa Kimamvu imehesabiwa kuwa watu 60,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimamvu iko katika kundi la Kisudani cha Kati.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimamvu kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.