Kimakaa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Kimakaa (lugha))

Kimakaa ni lugha ya Kibantu nchini Kamerun inayozungumzwa na Wamakaa. Mwaka wa 1987 idadi ya wasemaji wa Kimakaa imehesabiwa kuwa watu 80,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kimakaa iko katika kundi la A80.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimakaa kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.