Kimajera

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Kimajera (lugha))

Kimajera ni lugha ya Kiafrika-Kiasia nchini Kamerun na Chad inayozungumzwa na Wamajera. Mwaka wa 2004 idadi ya wasemaji wa Kimajera nchini Kamerun imehesabiwa kuwa watu 500 tu. Lakini mwaka wa 2002 wataalamu wengine wamehesabu wasemaji 2300 wa Kimajera ambao nusu wamekaa nchini Chad. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimajera iko katika kundi la Kichadiki.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimajera kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.