Kimadura

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kimadura ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wamadura kwenye visiwa vya Madura, Sapudi na Java. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kimadura nchini Indonesia imehesabiwa kuwa watu 6,770,000. Pia kuna wasemaji 900 nchini Singapuri. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimadura iko katika kundi la Kimadura yenyewe.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimadura kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.