Kilumbu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Kilumbu (lugha))

Kilumbu ni lugha ya Kibantu nchini Gabon na Jamhuri ya Kongo inayozungumzwa na Walumbu. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kilumbu nchini Gabon imehesabiwa kuwa watu 19,700. Pia kuna wasemaji zaidi ya 3000 nchini Jamhuri ya Kongo. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kilumbu iko katika kundi la B40.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kilumbu kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.