Kiluimbi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kiluimbi ni lugha ya Kibantu nchini Angola inayozungumzwa na Waluimbi. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kiluimbi imehesabiwa kuwa watu 43,900. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kiluimbi iko katika kundi la K20.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiluimbi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.