Kilubu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kilubu ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Walubu kwenye kisiwa cha Sumatra. Mwaka wa 1981 idadi ya wasemaji wa Kilubu imehesabiwa kuwa watu 30,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kilubu iko katika kundi la Kimalayiki.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kilubu kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.