Kilozi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta

Kilozi ni lugha ya Kibantu nchini Zambia inayozungumzwa na Walozi. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kilozi nchini Zambia imehesabiwa kuwa watu 610,000. Pia kuna wasemaji nchi za Botswana, Namibia na Zimbabwe. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kilozi iko katika kundi la S30.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Globe of letters.svg Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kilozi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.