Kilogooli

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kilogooli (au Lulogooli) ni lugha ya Kibantu nchini Kenya inayozungumzwa na Walogooli. Mwaka wa 2009 idadi ya wasemaji wa Kilogooli imehesabiwa kuwa watu 618,000. Pia kuna wasemaji 300 nchini Tanzania (2005) lakini hao wameanza kubadilisha lugha yao. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kilogooli iko katika kundi la E40.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kilogooli kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.