Kilogba

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kilogba ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Ghana inayozungumzwa na Walogba. Mwaka wa 2003 idadi ya wasemaji wa Kilogba imehesabiwa kuwa watu 7500. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kilogba iko katika kundi la Kikwa.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kilogba kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.