Kilobi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kilobi ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Burkina Faso na Cote d'Ivoire inayozungumzwa na Walobi. Mwaka wa 1991 idadi ya wasemaji wa Kilobi nchini Burkina imehesabiwa kuwa watu 286,000. Pia kuna wasemaji 156,000 nchini Cote d'Ivoire. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kilobi iko katika kundi la Kigur.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kilobi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.