Kilewo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kilewo ni lugha ya Kiaustronesia nchini Vanuatu inayozungumzwa na Walewo kwenye kisiwa cha Epi. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kilewo imehesabiwa kuwa watu 2200. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kilewo iko katika kundi la Kioseaniki.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kilewo kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.