Kileti (Indonesia)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kileti ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Waleti kwenye kisiwa cha Leti. Mwaka wa 1995 idadi ya wasemaji wa Kileti imehesabiwa kuwa watu 7500. Kwa vile Waleti wameanza kuacha lugha yao, Kileti iko htarini mwa kutoweka kabisa hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kileti iko katika kundi la Kitimor-Babar.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kileti (Indonesia) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.