Kilengilu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kilengilu ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Walengilu kwenye kisiwa cha Kalimantan. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kilengilu imehesabiwa kuwa wazee watatu tu, yaani lugha imekaribia kutoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kilengilu iko katika kundi la Kiborneo-Kaskazini.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kilengilu kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.