Kilemolang

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kilemolang (pia Kibaebunta) ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Walemolang kwenye kisiwa cha Sulawesi. Mwaka wa 1991 idadi ya wasemaji wa Kilemolang imehesabiwa kuwa watu 2000 lakini idadi imepungua tangu pale, maana yake lugha ya Kilemolang imekaribia kutoweka kabisa hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kilemolang iko katika kundi la Kisulawesi-Kusini.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kilemolang kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.