Kilemerig

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kilemerig ni lugha ya Kiaustronesia nchini Vanuatu inayozungumzwa na Walemerig kwenye kisiwa cha Vanua Lava. Mwaka wa 2008 idadi ya wasemaji wa Kilemerig imehesabiwa kuwa wazee wawili tu, yaani lugha imekaribia kutoweka kabisa hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kilemerig iko katika kundi la Kioseaniki.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kilemerig kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.