Kilauje

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kilauje (pia Kitinombo) ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Walauje kwenye kisiwa cha Sulawesi. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kilauje imehesabiwa kuwa watu 44,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kilauje iko katika kundi la Kicelebiki.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kilauje kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.