Kilampung-Nyo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kilampung-Nyo (pia Kiabung) ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Walampung kwenye kisiwa cha Sumatra. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kilampung-Nyo imehesabiwa kuwa watu 180,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kilampung-Nyo iko katika kundi la Kilampung.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kilampung-Nyo kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.