Kilamatuka

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kilamatuka ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Walamatuka kwenye kisiwa cha Lembata. Mwaka wa 2008 idadi ya wasemaji wa Kilamatuka imehesabiwa kuwa watu 4000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kilamatuka iko katika kundi la Kibima-Lembata.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kilamatuka kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.